Kaka Ankal, Ndinga hiyo nauza
Model : Mercedes Benz ML 320
YoM: 1999
Mileage:120,000 miles
Country used: United Kingdom
Colour: silver
Gear : Auto
matic gear
Fuel: Petrol
Tax: not paid
Price: 14,500,000
na vingine vingi,
Tafadhari wasaliana na Mwenye gari kwa namba :
0715442363
au
e-mail:kihoro2003@yahoo.com


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. GARI HII IPO UK,ATUPE BEI YA HAPA

    ReplyDelete
  2. hiyo bei bila kodi hailipi wala nini kwa gari hiyo hupati mtu, kwanza zzinasumbua sana hapa bongo mafundi wetu hawazifahamu,pia sparres zake ni noma! so punguza bei km wataka kuuza!ATLEAST SHOULD BE 7M bila kodi!

    ReplyDelete
  3. hizo gari kwa kifupi ziko cheap sana sasa leo unasmea 14m bila kodi imekuwa ferrari?hizo gari ziko kibao autotrader cheap sana tena za miaka ya karibuni,mwenye kutaka kuona link hii hapa wacha wizi na kuhijjack price kisa huko ulaya.
    http://www.autotrader.co.uk/search/used/cars/mercedes-benz/m_class

    ReplyDelete
  4. Tsh 14.5M ni sawa na USD9,600,very fair kwa ML 1999 model.Ila kwa wasiojua magari utawasikia na midomo yao ya kunuka,eti milioni 7,kwani imekua starlet?Kama huna hela kaa kushoto,acheni mwenzenu auze gari.

    ReplyDelete
  5. Anony Wed Jan 19, 01:33:00 PM 2011 wewe kweli noma. Nimeicheki hiyo link na kukuta bei za chini kuliko hiyo tunayotajiwa hapo juu. Any way, mdau anafanya biashara kwa hiyo mwenye pesa zake akamate hiyo Mercedes-Benz ML320.

    ReplyDelete
  6. ANA WAZIMU.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...