Wateja WATATU wa Vodacom wenye bahati kujishindia safari iliyolipiwa kila kitu kuhudhuria mechi kati ya Arsenal na Manchester United tarehe 30 Aprili 2011 Uingereza!!

Zawadi nyingine ni kama:

1. Muda wa maongezi wa Tsh 5,000 kuzawadiwa kwa wateja 100 KILA MMOJA KILA WIKI.

2. Muda wa maongezi wa Tsh 20,000 kuzawadiwa kwa wateja 20 KILA MMOJA KILA MWEZI KWA MIEZI MITATU.

3. Laptop 3 (laptop 1 kutolewa kwa mteja mmoja kila mwezi) kuzawadiwa kwa wateja WATATU wenye pointi nyingi zaidi

4. Pikipiki 1 aina ya Scooter kuzawadiwa kwa mteja mmoja mwenye pointi nyingi zaidi kuliko wote

Jinsi ya kushiriki:

Ni rahisi kabisa, mteja wa Vodacom atatakiwa kutumia huduma mbalimbali za VodaFLAVA na kupata pointi zitakazomwezesha kubahatika kushinda zawadi hizi.

Baadhi ya huduma za VodaFLAVA ni:

1. Tuma neno EPL SWALI au EPL QUESTION kwenda 15500

2. Tuma neno MAPENZI WASHA au LOVE ON kwenda 15500

3. Tuma neno MTOKO WASHA au DATING ON kwenda 15500

4. Tuma neno UREMBO WASHA au BEAUTY ON kwenda 15500

5. Tuma neno UKSOKA WASHA au UKSOCCER ON kwenda 15500

6. Kupata orodha ya huduma nyingine za VodaFLAVA, tuma neno MSAADA au HELP kwenda 15500

Pamoja daima.

Vodacom, Mtandao unaoongoza Tanzania

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...