Umati uliohudhuria mnuso wa African Stars band wa kusherehekea mwaka mpya na kuzindua video zao mbili wakiwa na Bozi Boziana toka Congo Kinshasa usiku huu katika kiota cha Mzalendo Pub jijini Dar
Mkurugenzi wa Twanga Pepeta Da'Asha Baraka akimkaribisha mgeni rasmi, Mbunge wa Kinondoni Mh. Iddi Azzan kwenye mnuso huo usiku huu
Mh Iddi Azzan akimlisha ndafu Bw. Baraka Msiilwa wakati Da'Asha Baraka akiendelea kukata minofu huku Mama Baraka (kulia) akiweka ndafu sawa
Kikiwa kimetimia, kikosi cha Twanga Pepeta kikitumbuiza vibao vipya na vya zamani. Toka kuume ni mpiga solo mahiri Adolph Mbinga 'Chinga Boy', Rogart Hegga 'Katapilla', Lwiza Mbuttu, Hamisi Amigoras. Janeth Isinika








MMH NAOANA MAMBO YALIKUWA MAZITO HAPO MILLENIUM. HAYA TULIO NJE NDIYO HIVYO TENA TUTAISHIA FURAHA YA PICHA KWENYE MICHUZI BLOG.
ReplyDeleteHONGERENI TWANGA