Even after you see it, it is still hard to believe!
Water Bridge in Germany .
What a feat!

Six years, 500 million euros, 918 meters long.......now this is engineering!

This is a channel-bridge over the River Elbe and joins the former East and West Germany , as part of the unification project. It is located in the city of Magdeburg , near Berlin. The photo was taken on the day of inauguration.

To those who appreciate engineering projects, here's a puzzle for you armchair engineers and physicists. Did that bridge have to be designed to withstand the additional weight of ship and barge traffic, or just the weight of the water?

Answer: It only needs to be designed to withstand the weight of the water!

Why? A ship always displaces an amount of water that weighs the same as the ship, regardless of how heavily a ship may be loaded.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Ankal Michuzi shikamoo. Habari za kwako. Naomba kukuuliza jambo moja? mbona blog yako inakimbia hivi. Unajua ili kuwafanya watu wapende kurudi hapa angalau habari uziache zikae kwa siku moja au kama ni picha basi usiweke nyingi sana kwa habari moja ili habari za siku moja ziweze kukaa kwa angalau siku moja. Kama ni hivyo basi chagua sana zile habari za muhimu ili kupunguza speed ya blog. Hii blog yako inategemewa sana na wengi lakini ili kutunza ubora wa blog yeyote ile rule number one uwe unapost kila mara the leatest ni mara moja kwa week. Rule number two usipost habari nyingi kwa muda mmoja. Na hii ndio naona kinaendelea hapa...Habari sizizokua na ncha wala mgongo ziweke mpaka siku huna cha kupost basi unazipost. Watu watakukibia kwa hili....Natumaini utachukua hii as a constructive criticism...

    ReplyDelete
  2. du kweli dunia ya kwanza,hapa kwetu vingunguti tu ishu sijui hiyo kigamboni itakuaje!

    ReplyDelete
  3. Vipi lile daraja la Mkapa...Nadhani ni urefu wake ni kama huo...

    ReplyDelete
  4. ANKO MIMI SIKUBALIANI NA HUYO ANONY WA KWANZA KABISA, WATU WENGI TUNAIPENDA BLOG YAKO KUTOKANA NA UPDATES ZA MARA KWA MARA, SASA UANZE KUWEKA HABARI 1 WIKI NZIMA, ITABOA SANA NA UTATUPOTEZA WENGI SANA ANKO. LABDA HUYO ANONY HAJUI NI WATU WANGAPI WANATEMBELEA BLOG YAKO KWA SIKU KUTOKANA NA KUTAKA KUJUA NINI KIPYA NA NINI KIMEJIRI MIMI NI MMPJA WAO. BLOG INAKUWA NA MVUTO INAPOKUWA NA UWEZO WA KUPATA UPDATES MUDA WOTE, YANI KAMA CNN VILE AU BBC AU ALJAZEERA NDIO BLOG YA ANKO HIYO.

    ReplyDelete
  5. Sasa hilo daraja lao sisi linatusaidia nini? Kwanza hizo pesa Euro500 sisi tutazitoa wapi? Msipende mazuri ya wenzenu mtananihiwa. Tushukuru na tunachokipata.

    ReplyDelete
  6. The amount of water displaced before you touch the base or navigable limit of the bridge will be the limit to how big and heavy the ship should be.

    ReplyDelete
  7. Huhitaji engineer kujibu hilo swahili. Mbona hiyo fizikia ya kidato cha pili tu!

    ReplyDelete
  8. kwa hivyo tunaweza kujenga daraja la kupitisha vyombo vya majini ktk milima na mabonde yetu, kwa mfano tukatoa maji toka ziwa Victoria au Tanganyika kwa kujenga madaraja haya na kuyafikisha Dodoma kwa 'mto-'artificial'. Ma-engineer wetu kazi kwenu siyo kujiita Eng.Mito-mingi halafu ubunifu hakuna.
    Mdau
    Eng.mito-mingi

    ReplyDelete
  9. Wewe fala hapo juu ondoa ufala wako hapa. Hii kujua blogu mwaka huu ishakuwa nongwa. kama vipi fungua blog yako uwe unaposti mara moja kwa wiki watu waondoke kwa ankal waje kwako. nyoooooooo..... kazi kudandia treni kwa mbele tu. we ushaandikiwa hapo chini kulia 'habarizilizopita' wewe nunabana pua hapa na kumshambulia ankal. na nyie ndio wenye inda na maendeleo yake. lione kwanza. Ankal achana nao hao wenye donge na wewe. Hizo rule ampelekee babaake aliyechelewa kumleta mjini - allllaaaaaaa!

    ReplyDelete
  10. HATA UHANDISI KIGAMBONI UMETUKUKA!

    ReplyDelete
  11. Kula mia mdau namba moja, kweli ankali hadi anaboa anaweka habariasubuhi, mtu unatoa comment ikifika saa kumi habari haipo na hata mtu hujasoma comment, na sie wa nje tumetofautiana masaa, utaona picha utatooa comment kunakucha asubuhi unakuta kuna ishu mpya yani naishiaga tu kwenda kule jiachie walau habari zinakaa kidogo ila kwa huyu supu ya kuku wa kiennyeji ni noma!

    Ulisema siku hizi utakuwa unajibu mapigo, tunaomba ujibu hizi tuhuma why? kwa nini?

    ReplyDelete
  12. Naam wadau! Ni kweli kwamba nimeahidi kujibu mapigo, ila si kwa jazba na maandamano kama unavyotegemea. Ni kwa vijiswali viwili tu? Je una uhakika na unachokisema? Chini kulia kwenye Globu ya Jamii pana maneno yanayosomeka 'Habari zilizopita' je ushawahi kubofya na kukosa habari za nyuma?

    Hahahaaa hapo kama ni mtihani umeanza kujibu kabla ya kuipitia pepa na umeubunda. Karibu sana mdau wa hapa juu na wa mwanzo kabisa. Ila halahala kidole na jicho. wenyeji hasa wakiamka na kukuta hili zogo mie simo

    ReplyDelete
  13. ma engineer wa bongo kujenga flyover to issue , mambo kama hayo inabidi matazame tu ! wewe mtu kasoma engineering akirudi bongo anapewa ujenzi wa beleshi na nyundo. hata u engineer sasa unapotea !

    mdau paris

    ReplyDelete
  14. Actually it is not such a big engineering feat in today's standards. People have been building Navigable aqueducts (or water bridges in layman's terms) since the times of Roman Empire. The only notable thing with this one is how long it is, but when it comes to engineering side, there is nothing spectacular.

    ReplyDelete
  15. the weight of water considered is after displacement (the depth of flow)

    ReplyDelete
  16. It is true that the weight of water dispalced will equal the weight of the ship! Now my question is: Is there system to remove the water on the bridge once the ship is on it? If not, I doubt whether the explanation of water displacement suffice the concept of weight support. Otherwise, the construction of the bridge must have considered the weight of both ships(and other passin on the bridge) and water. The logic is simple: Once the ship passed the weight to be supported must increase, and there is no way it can remain the same....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...