Music video ya kwanza ya msanii Francia Chengula wa kibao kipya cha UKO WAPI MPENZI ambacho kimetungwa na kuimbwa na Francia mwenyewe na kurekodiwa huko London, UK.
Kibao hiki pamoja na vingine vinapatikana katika album yake mpya inayoitwa 'Moyo Wangu' ambayo kwa sasa ipo Itune na Amazon MP3
Kibao hiki pamoja na vingine vinapatikana katika album yake mpya inayoitwa 'Moyo Wangu' ambayo kwa sasa ipo Itune na Amazon MP3
Hivi naomba kuuliza Tanzania hakuna Studio za kurekodi?? kama zipo zinafanya nini??
ReplyDeleteWatanzania wengi wakirekodi nje ya nchi kazi zinakuwa nzuri.Nikikumbuka Innocent Galinoma naye alitoa kazi nzuri.Tanzania watu wanavipaji lakini nyimbo zao hazina ubora,whats wrong with Recording studios in Tanzania.Kwa nini Tanzania hakuna kitu tunachojivunia?.
Naomba huu ujumbe usomwe na producers wa Tanzania.Wimbo mzuri na una ubora wa kimataifa.Shukrani zimwendee producer wa studio Iliyorekodi huu wimbo.
Mrudie mwenzio kesha lia sana, nimependa midundo ya vyombo na mistari yake. Kumbe midundo ya 'Pop' inaweza kuendana na lugha ya Kiswahili.
ReplyDelete