mshkaji akipia boda barabara ya kilwa road jijini dar jioni hii, akiwa si mbali sana sio tu na kota za polisi bali pia chuo kikuu cha manjago. sehemu hiyo iliyo karibu na kituo cha kota za relwe ni maarufu sana kwa wenye magari kula boda kwani barabara hiyo haina sehemu ya kugeuza hadi kuleeee kwenye kiplefti ya shule ya jitegemee ambapo ukinoa stepu inabidi ukageuzie sabasaba.
uinjinia uliotukuka huo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AH mnalaumu nini : MIUNDO mbinu ni mibovu ,watu wanavunja nyumba kutanua barabara sasa angalie barabara ndogo kuliko hiyo island ya kati,kisha mtasema kuna trafic wakati barabara mnazibana kwakuweka island,ingekua haipo hiyo ingekua tabu kugeuza sio

    ReplyDelete
  2. huo ujenzi haukukosea, ni njia mojawapo ya kupunguza traffic jam.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...