Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Kiinglishi chako ni kizuri na unajua kujielezea kumzidi hata jeikei

    ReplyDelete
  2. ccm pia wanajitangaza kwenye blog yako

    ReplyDelete
  3. Kaka Hongera sana,

    Kwa sasa tunaweza kuwa nyumbani (kupitia humu) hata tukiwa ughaibuni. Mungu akujaalie utimize ndoto zako. Endeleza libeneke.

    Mmakonde
    Hunghom

    ReplyDelete
  4. Kaka Michuzi hiyo speed ya internet mbona mimi bado hainiingii akilini? Nilikuja likizo bongo kutegemea kupata internet ya Ukweli lakini mhhh...... Nikajaribu kwenda pale Zantel kununua modem ilikua nayo tabu, maana kila wakati nilikua napewa story za modem kuisha.

    ReplyDelete
  5. Sana anko! Unaelewa wapo tu mpaka sasa wanaokuchukulia kama "anko Michu wa Chuo Kikuu Cha Unversity of ,...." mpaka wakiona vitu kama hivi. I phone faive inakuja -- usipange kumonita dili kwenye blackberry pekee.

    Tunashukuru sana -- na wengi tunaanzia hapa kwako kila siku -- kama unavyotoa data

    ReplyDelete
  6. All the best Ankal, super interview you were so confident,

    Chef Issa

    ReplyDelete
  7. Uncle umejulia wapi hicho ki-english, ule utani-utani wako wa 'barabara ya Morogoro road' nilijua mambo hayapandi. Watanzania wengi wa umri kama wako na wadogo kwako lugha hii inasumbua sana kwa sababu ni kipindi kabla kidogo nyie hamjaanza shule,english ilisimamishwa kuwa 'medium of instruction' shule za msingi na kubadiliwa na Kiswahili. Toka wakati huo english imewapiga chenga watanzania wengi Miaka ya 1990s english medium schools (nursery, primary) na sekondari za binafsi zilianza kuanzishwa na wachache wenye pesa walianza kusoma huko. Hao na wanaosoma sasa wanakijua. Wewe naamini ulisoma shule za 'msondo' au Kayumba..sio 'fm academia', hii lugha umeijuaje-juaje? Tupe siri na wengine tufaidike.

    ReplyDelete
  8. Kakiingereza kazuri umejitahidi sana, wafundishe na wengine manake sometimes magazeti ( Daily news) yetu ya kiingereza ni aibu tupu.Yaani kiingereza chake ni cha kutafsiri sentence zilizotungwa kiswahili.Ila kuna mwandishi mmoja wa daily news( jina nimemsahau kidogo nitakutumia jina baadae)huwa anaandika kiasi kwamba hata mwingereza mwenyewe haitaji msaada wa ufafanuzi wa lugha yake kutoka kwa mbongo.
    Wazee wetu walisoma hadi darasa la nne tu na wakaweza kuwa wazuri kwenye lugha ya kiingereza. Siku hizi 95% ya graduates wa vyuo vikuu ni aibu tupu, (ni ukanumba tu).Nakushauri kama una nafasi basi jaribu kuhakisha kuwa magezti ya kiingereza bongo hasa daily news yanakuwa kwenye lugha ambayo mtu kutoka pande zote za dunia anaweza kusoma na kuelewa mara moja bila kukaa na kufikiria.
    Mwisho naomba uniuzie the fulanaz.

    ReplyDelete
  9. Good interview Michuzi. My view is that we need to get more Tanzanians online especially those residing in Tanzania. How this will be achieved is pretty difficult taking into consideration power supply problmes and the level of development in general. But the fact remains that the World is moving very fast as far as the internet is concerned. To avoid being left behind, we need to the address structural constraints as well as cost-related factors.

    ReplyDelete
  10. Hongera Ankal..umejieleza vizuri sana na nakutakia kila la kheri katika kufanikisha ndoto zako.

    ReplyDelete
  11. Sikujua kwamba jina lako ni Izza linapotamkwa kiinglishi...Hongera maze. Sasa hizo vacation utaelekea wapi ndugu yangu?

    ReplyDelete
  12. Safi sana Globu ya Jamii kutambuliwa na Africareport dot com.

    Kazi ni mmoja hukakikisha video zote unazopiga Ankal hata usiku zitoke chicha kama hii bila chenga wala nini, ili corporate sponsorship za kimataifa(nje ya Tanzania) pia waombe ubao wa matangazo!

    ReplyDelete
  13. Kaka Mchuzi nimetoka kuangalia video yako sasa hivi,kumbe mwenzetu kiinglishi unakipata kwelikweli,hongera umejieleze vyema,mwenyezi mungu aendelee kukujalia uli uindelezee blog ya jamii.

    ReplyDelete
  14. Wadau nashukuru kwa compliments. ila nashangaa kwikwi na kigugumizi hamkukiona; si mnajua tena umatumbi na kiinglishi vikigongana? anyway, dio hivyo tena. Nashukuru wote

    ReplyDelete
  15. Congrats Ankal,
    The interview was good na umejeileza vyema. Changamoto ulizokumbana nazo miaka kadhaa iliyopita akina sie ndio tunakukuruka nazo sasa. Shukran kwa kutupa shavu ktk blog ya jamii blogers ambao tunaanza kuona mwanga wa jua la asubuhi

    tembeatz.blogspot.com

    ReplyDelete
  16. Well done ankal Michuzi.

    Mdogo wako Dennis.

    UK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...