Bandugu,
Lugha ya kiswahili inazidi kuchukua nafasi yake kama lugha kubwa Afrika na hata ktk teknohama kama kwaya hii ya Utaliano :Wimbo Amani Iwepo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hiki ni kitu cha kujivunia kuona tuna asset inayo thaminiwa kimataifa. ni challenge kwetu wamiliki wa kiswahili kukithamini zaidi na kuki-promote. Ukithaminiwa-Jithamini pia. Kuna mataifa mengi yanayo tumia nguvu nyingi kusambaza uelewa wa lugha zao kwa mafanikio madogo, lkn sisi wala! kumbe ni faida kwetu kwani ni sehemu ya kuitangaza nchi yetu kwa kuifanya itambulike zaidi japo Wakenya ndio wamejitangaza zaidi kama wenye Lugha hii japo nawao wanakuja kuangushwa na historia inayo bainisha kua mwenyeji ni Mtanzania!

    Mungu atatusaidia Tz huku tukijisaidia pia!

    ReplyDelete
  2. kweli kabisa na hapa Norway mkenya ameshinda eurpean melod grand prix kwa upande wa Norway ingawa ameimba kwa kuchanganya na kingereza lakin colous yake ni kwa kimatumbi, kwa hiyo imekua gumzo. kwa hiyo atashiliki kwenye eupean melod grand prix uko German, akiwakilisha Norwey. na kuna kimatumbi ndani yake (kiswahili) na wimbo wenyewe unajulikana kwa jina la Haba haba. Ujaza kibaba

    ReplyDelete
  3. Nyie mnojifanya waswahili mbona mnaandika vibaya au mnaandika kama watu wa nairobi (swanglish)? sisi watu wa mrima wa kenya (mombasa,malindi,lamu nk )ni waswahili 100 %,tofauti na mtu anetoka arusha ama mwanza.kwa hiyo msijifanye kuwa hii lugha ni yenu peke yenu.

    Vanga.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...