Home
Unlabelled
king kikii na wazee sugu bado anatawala jukwaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii ndo Miziki ya Tanzania,Ngoma imetulia...kulia na muona Kabeya Badu,King Kikii huku Gitaa linakung'utwa na Matuka Bizon...
ReplyDeleteAsante sana Brother Michuzi kwa kutupa Ngoma saaaafi.
Ankal,
ReplyDeleteDuh! nyumbani mbali, lakini asante Globu-ya-Jamii kwa vitu adimu kama hivi vya muziki-wa-kiukweli toka kwa Wazee Sugu, Kilimanjaro njenje, Kisauji Babloom, Mlimani Park, Msondo Ngoma na pia shukrani kwa wana-muziki- wa-ukweli kuendeleza muziki wa dansi.
Marekani ya kaskazini muziki haujali wana-muziki wana umri gani mradi unafanya vitu safi unapata washabiki wa rika zote naona na Tanzania tunaelekea huko sasa.
Mdau
Hawaii,
Visiwani bahari ya Pasifiki.