Katibu Mkuu wa Mtandao wa wanawake viongozi wa kuchaguliwa na Kuteuliwa Afrika, Mhe. Lediana Mg’ongo (Mb) (Kushoto) akimkaribisha mwenyekiti wa Mtandao huo ambaye pia ni Naibu waziri Mkuu wa Zimbabwe Mhe. Thokozani Khupe mara baada kuwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo. Mhe. Thokozani Khupe yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya mtandao huo ikiwa ni pamoja na kufanya maandalizi ya kuanzisha secretariat ya kanda hapa nchini. Kulia ni Balozi wa Zimbabwe nchini Mh. Edzai Chimonyo.
Picha na mdau Owen Mwandumbya wa Bunge

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...