Leo ni miaka 22 tangu ulipotuacha kwa kuitwa na mwenyezi mungu.
Kumbukumbu juu yako bado ni mbichi kabisa.
Kumbukumbu juu yako bado ni mbichi kabisa.
Tunakumbuka miongozo yako ya maisha, hekima, busara na zaidi ya yote kicheko na upendo wako kwa familia.
Tunamwomba MUNGU akupumzishe kwa AMANI- AMINA.
Unakumbukwa na mkeo Bernadeta, mtoto Evance,
wajukuu, mama yako Rhoda, kaka,
dada na shemeji zako ndugu jamaa na marafiki.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...