Mabalozi waTanzania katika nchi za Bara la Asia wakiwa pamoja na watumishi wa TANAPA walipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

1. Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za Bara la Asia wakiwa pamoja na watumishi wa TANAPA walipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

1. Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za Bara la Asia wakiwa pamoja na watumishi wa TANAPA walipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

1. Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti akiwaonyesha mabalozi jiwe linalotoa milio ya aina mbalimbali katika hifadhi ya Serengeti ambalo ni kivutio muhimu cha watalii.

1. Balozi Salome Sijaona akiangalia jiwe linalotoa milio ya aina mbalimbali katika Hifadhi ya Serengeti.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa,Hongera mabalozi wetu lakini jambo ni mkifika huko jaribuni kuitangaza nchi yetu sio kwakua nyinyi mmeshafika huko ndio basi jamani jamani tangazeni nchi yetu huko mlipo sio mambo yote mnayaacha hapa hapa jueni mmetumia pesa yawalipa kodi ya Tanzania kwa kupanda ndege,usafiri wa ndani birakusaau posho pesa hizo zote ni kodi ya watanzania sasa nyinyi mnafanya mchezo tu tangazeni nchi yetu na maliasili ndio mtakuwa mnawatendea haki watanzania kupitia kodi zao wanazolipa sio mfaidike nyinyi wenyewe.

    ReplyDelete
  2. Huyu aliyesimama kushoto nyuma picha ya pili kutoka juu nilidhani ni Profesa Jay.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...