Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe akizungumza leo mbele ya waandishi wa habari waliofika katika mkutano wa utambulisho wa majina ya wanamuziki bora kwa mwaka 2011 (NOMINIES) katika ukumbi wa mikitano wa kampuni ya bia Tanzania.kulia ni Mratibu wa Tuzo za BASATA,Angello Luhala.
Mratibu wa Tuzo za BASATA,Angello Luhala akisoma majina ya wanamuziki bora kwa mwaka 2011 walioingia katika kinyang'anyiro cha Kili Music Awards 2011.kushoto ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro ambao ndio wadhamini wakuu wa Tuzo hizo,George Kavishe.
Mkaguzi wa Tuzo kutoka INNOVEX,Lloyd Zhungu akikabidhi bahasha yenye majina ya wanamuziki bora wa mwaka 2011 kwa Mratibu wa Tuzo za BASATA,Angello Luhala huku Meneja wa Bia ya Kilimanjaro akishuhudia tukio hilo.

Pongezi kwa wale waliofanikiwa kupita na kuingia kwenye kinyang'anyiro cha mwaka huu.
ReplyDeleteTembeatz.blogspot.com