Home
Unlabelled
mh. freeman mbowe atangaza baraza la mawaziri vivuli bungeni leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa vile mimi ni Mbunge wa Hai, na ni Mwenyekiti wa CHADEMA, na mwenyekiti wa upinzani najichagua kuwa waziri... Briliant! Tunataka Katiba mpya itakayo mpunguzia madaraka nanihii
ReplyDeleteWadau nawaomba tafadhali nisaidieni mwenzenu. Hivi Mawaziri vivuli wanakuwa na kazi gani,Je wana ofisi na wanapata mishahara kama Mawaziri wengine wa Serikali? Je kuna ulazima wa wao kuwepo? Chonde chonde nasubiri maelezo yenu. wengine kama sisi hatujui madaraka ya bunge yakoje, katiba yenyewe ndio kwanza tunaiona juzi magazetini.
ReplyDeleteAnon wa Feb 15 05:28:00 AM 2011 , mimi ndio kama wewe, nina shauku ya kusikia jibu maana Mh! ndio maana kodi zetu maofisini hazishuki! halafu nataka pia kuuliza! mbona enzi za mwalimu kulikuwa hakuna mishahara mikubwa ya wabunge kama sasa! na ni kwanini watu wanataka sana kwenda huko! Mh roho inaniuma sana mie lakini Mungu yupo na anaona mimi NAMSHITAKIA ANILIPIE KWA KODI YANGU NINAYOKATWA KILA MWENZI.
ReplyDeleteHawa viongozi we2 wapo madarakani sio kwa lengo la kumsaidia mwananchi ajikwamue kimaisha na ajivunie kuwa mtanzania,wapo kwa ajili ya wao wenyewe na familia zao,wa2 wameishiwa uzalendo wananchi hawana imani na mfumo uliopo wa serikali then tutarajie maendeleo,tuendelee kuota,i hate kuwa mtanzania,nchi imechoka hadi aibu wakati nchi za wenzetu zinaendelea kila kukicha,kama wao wameweza so do we..!
ReplyDelete