Bodada ikitoa huduma kwa familia kurejea nyumbani asubuhi hii kutokea walikojibanza baada ya serikali kutoa tamko kwamba hali sasa ni shwari na wanaweza kurudi nyumbani kwa usalama huku tahadhari ikitolewa kwa yeyote atayeona kitu asikiguse bali atoe taarifa mara moja
Daladala ikihudumia wakazi wa Gongo la Mboto
Mwanahabari akidoea lifti ya Bodaboda.
Picha zote na Chris Mfinanga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ankal hapo wanarudi au wanaondoka? Labda ungeongea nao wakwambie wanaelekea wapi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...