Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza BiHabiba Rajabu mkazi wa Chalinze aliyejifungua watoto mapacha katika hospitali ya Shirika la elimu Kibaha muda mfupi baada ya Rais Kikwete kufungua jengo jipya la Mama na Mtoto katika hospitali hiyo leo asubuhi.Jengo hilo limejengwa kwa msaada wa Taasisis ya Korea Rotary International ambapo Rais wa Taasisi hiyo Dong Kurn Lee alikabidhi vifaa mbalimbali vya kitabibu wakati wa hafla hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mtoto Brenda Boniface(4) aliyelazwa katika Hospitali ya shirika la Elimu Kibaha baada yakuugua malaria leo asubuhi.Pembeni ni mama wa mtoto huyo Bi.Tiasaeli Palangyo.Rais Kikwete alikwenda hospitalini hapo kufungua jengo la Mama na Mtoto lililojengwa na Taasisi ya Korea Rotary International(picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...