Wacheazaji wa Simba SC wakishangilia moja ya magoli yao dhidi ya timu ya Elan de Mitsoudje ya Comoro leo katika uwanja wa Uhuru jijini Dar ambapo Wekundu wa msimbazi waliondoka na ushindi wa bao 4-2 na kusonga mbele katika michuano ya klabu bingwa Afrika. Sasa watakutana na TP Mazembe ya DRC
Wachezaji wa Simba wakipambana na wa
timu ya Elan de Mitsoudje ya Comoro
Heka heka langoni pa timu ya Elan de Mitsoudje ya Comoro
Kikosi cha kwannza cha Simba SC leo
Kikosi cha timu ya Elan de Mitsoudje ya Comoro
Mashabiki wa Simba SC wakishuhudia timu yao
ikiifunga Elan de Mitsoudje ya Comoro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...