Home
Unlabelled
soft opening ya nyumbani lounge ya gadna g. habash na lady JD
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kiukweli pazuri sana na ni sawa kweli na nyumbani, hata sie wadau tulioko nje tukija sehemu kama hiyo kweli uanajiskia uko nyumbani, hongera sana Jay - D na Gadna Harbash hongereni sana mzidi kutufurahisha nyie ni mfano mzuri sana wa kuigwa mungu awabariki sana. Mdau wa Norway.
ReplyDeletehongereni sana gadna na lady jd mmefanya kazi kubwa sana huu ni mfano wa kuigwa na wapenda maendeleo mbarikiwi mungu azidi kuwaongezea zaidi mnaongezewa kwa sababu nanyie saa zingine mnawasaidia jamii
ReplyDeleteOngereni sana nitakuja kuwaungisha
ReplyDeleteHi sehemu poa sana. I am sure nyma choma haikosi!!
ReplyDeletewaooo, i cant wait kwenda ku enjoy, no fujo, ni utulivu na kiyoyozi kwa mbaali, mungu azidi kuwazidishia.
ReplyDeleteSehemu ni kareeee!
ReplyDeleteHongera Jd na Mumeo, hakika mnaonyesha mfano wa kuigwa na tunawapongeza sana kwani kwakufanya hivyo mnawasaidia vijana wengine kupata ajira.
ReplyDeleteiko wapi yaani mtaa, sehemu gani hapa dar (advertising mhh????) bila anuani
ReplyDeletekwa kweli hongereni sana jide na habash kazi nzuri sana
ReplyDeletesafari hii nikija mapunziko na wadau wenzangu tutafika hapo tuje kutulia inaonekana kuna utulivu sana
jitahidini kuweka ulinzi wa kutosha hata tukiegesha usafiri wetu tusije kuvunjiwa vioo na kuibiwa
mdau wa mahakama ya dunia.
Wewe unayeuliza iko wapi, yaani hukusikia kwenye haya maelezo kwamba iko Namanga nyuma ya Best Bite? Hii direction inatosha kabisa, sidhani kama unahitaji mtaa! Sikiliza kwa makini kabla hujaanza kuponda pls.
ReplyDeletenikitua dar tu nakuja kuwatembelea safi sana
ReplyDeletepazuri sana,hongera sana komando JD
ReplyDeleteLADY JD NA MH. KAPTENI GADENA HABSH G. CONGLATULESHENI OF GRADUETING THE LONGE OF MARAHA. ALL THE PEOLPLES IS STUDY AT MUZUMBE UNIVESITI OF MOLOGOLO OF ECONOMY COLLEGEIS GOOD ENTERPRENUER AND DO GOOD BUSINESS IN TAZANIA.LEVEL 8 IN KEMPINSKI IS LOST ALL CUSTOMER TO THIS NYUMBANI LOUNGE. I SAY YOU IS DONE GOODS FOR THE PPLE OF TANZANIA AND JAHAZI AND BONGO FLAVA AISEE. I WILL BLINGS MY GALR FRIENDS TO EAT LUNCHES THERE. MIMI HII NDO MANEDLEO YA WASOMI WA MUZUMBE CHUO KIKUU CHA UNIVESITI CHA KULE MOLOGOLO. HONGELA SANA
ReplyDeleteHabari Gadna na Jide,
ReplyDeletePokeeni mtazamo wangu kama changamoto kwa maendeleo ya Launge yenu. Ndani ya launge yenu ni full AC na ni ghali kulipia umeme kwa kuhifadhi ubaridi mlitakiwa kuwa na air tight door ili ubaridi usitoke nje na sio mlango wa kioo kama huo pia haubani vizuri na inaonyesha fundi aliboronga jinsi ya kuuweka maana sio imara na unapiga kelele kama unakwaruza ni kelele kwa wateja watakao kua wamejipumzisha katika launge.
Pili sijapenda aina ya viti vinavyozunguka bar, tatu mchanganyiko wa rangi umekua mwingi sana kiasi ambiance ya launge inapotea kabisa. Nne mtaalamu aliewashauri viti vyeupe kuweka nje ya launge ni kosa maana Dar yetu manifahamu vumbi ni jingi sana kwahiyo viti hivyo vitachafuka haraka na itakua hasara.
Jitaidi myafanyie kazi haya kwani mmeweka pesa nyingi sana hapa rekebisha mtaona faida yake. Location na Idea ni bomba sana Mr. na Mrs Habash nawatakia kila lakheri sehemu ipendwe sana na mfanye biashara sana sana.
'MICHUZI USIIBANIE HII UKIBANA NITAKUPIGIA SIMU KUKULAUMU WEKA IWASAIDIE KAMA CHANGAMOTO WASIKUBALI KUSIFIWA TU WAKUBALI KUKOSOLEWA PIA'
Much Love
Interior designer
M. Kirov
congrats, the two of you, among other things, you are an example of what it means by taking "calculated risks", and usually, the higher the risk, the more the pay, wish you all the best, tafadhali na machozi band iendelee kama kawa
ReplyDeleteHivi anonymous 11.29 "mahakama ya dunia" ndio wapi huko
Anonymous 08.40, pamoja na mawazo yako mazuri, pongezi huja kwanza ndipo kukosoa kunafuatia, na kawaida mitazamo hio miwili huunganishwa na neno "hata hivyo", aidha mawazo yako kwenye aya ya 1 ni "objective" ila mawazo yako kwenye aya ya 2 ni "binafsi' kama wewe ulivyosema mwenyewe "sijapenda", mawazo uliyoyawasilisha hapo ni "subjective" yanayokulenga wewe mwenyewe au na watu wanaofikiria hivyo,
mwisho, natumaini sitakosolewa kwa kutumia kiingereza kwenye aya ya 1, nilishindwa kupata tafsiri sahihi ya maneno "calculated risk" nikaona io sentensi ita flow vizuri ikiwa kwenye uhalisia wa lugha ya kiingereza,
mdau