Mr. David Martin, the Head of European Union’s election observers team to Tanzania and also a Scotland’s senior Member of European Parliament presents to Hon. Anne Makinda, Speaker of the Parliament of Tanzania, the EU observers’ report for the Tanzania General Election 2010 at the Speaker’s Board Room in Dodoma today. Mr. Martin was accompanied by European Union Delegation to Tanzania and British High Commissioner to Tanzania Madam Diane Corner.
The British High Commissioner to Tanzania Ms Diane Corner (left) and United Kingdom Commonwealth Parliamentary Association (CPA) top leaders listen to Mr. David Martin as he presents the general election report to the Speaker.
Delegation that accompanied the Head of the EU election observers team to Tanzania Mr. David Martin listens to Speaker Makinda. Photos by mdau Prosper Minja of Bunge.
.
Hi Uncle Michu!!
ReplyDeletePole na kazi, nafurahi kuona TZ tunaletewa report ya uchaguzi kutoka Eu lakinio tunaomba hio report ya Wasimamizi wa Eu katika Uchaguzi iwekwe kwenye Magazeti au kwenye hii Blog kama ilivyoletwa bila kubadilisha kilichomo na wananchi wapewe fursa ya kuisoma wenyewe kwenye magazeti yote. Kwa kufanya hivyo itajulikana wazi kama kweli katika uchaguzi huo kulifanyika demokrasia na haki ya wananchi au vyama vilitumia tuu mbinu za hongo na rushwa kwa wananchi kwa faida ya wachache waendelee kuendeleza vitengo vyao.
Nimefurahi sana kuona hili jambo kwenye blog yako lakini naomba tu ofisi husika ikiwa ni spika na vyombo vipasavyo kupeperusha taarifa hii kwa wananchi wao kufichua na kuondoa kero za uchaguzi uliopo mbele yetu 2015!. Hata huku Ughaibuni huwa tunapewa report za EU pamoja na za kutoka mabara mengine kama USA na Australia.
Nitafurahi kama ombi langu litapokelwa na wahusika na kutimizwa.
KAzi njema na natanguliza asante zangu.
Mdau wa Ujerumani
Ngassa