Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Hemajo Entertainment,Edith Subeti akizungumza usiku wa kuamki leo wakati wa uzinduzi wa kampuni hiyo na uzinduzi wa saba saba tatu ya Clouds Fm ndani ya ukumbi wa Nyumbani Hotel,jijini Mwanza.
aMeneja wa vipindi wa Radio Clouds Fm,Sebastian Maganga akizungumza katika uzinduzi huo ndanyi ya ukumbi wa Nyumbani Hotel,jijini Mwanza usiku wa kumkia leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Hemajo Entertanment,Edith Subeti akitambulisha timu nzima ya wana Leo Tena wa Clouds Fm.kulia ni Meneja Vipindi wa Clouds Fm,Sebastian Maganga,akifuatiwa na Gea Habib (tatu kulia),Dina Marious (tatu shoto),Zamaradi Mketema (pili shoto) pamoja na PG Kweka.
Msanii wa kizazi kipya,Elias Barnabas (Barnaba) akiwabembeleza mashabiki wa Mwanza usiku wa kuamkia leo wakati wa uzinduzi wa Kampuni mpya ya Hemajo Entertainment uliofanyika ndani ya Ukumbi wa Hotel ya Nyumbani,jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo.
Sajna ambaye ni msanii wa kizazi kipya akiwaburudisha mashabiki walifurika ndani ya Nyumbani Hotel,Jijini Mwanza usiku wa kumkia leo.Msanii Amini Mwinyimkuu akilalamika katika moja ya nyimbo zake alizozipiga usiku wa kuamkia leo ndani ya Hotel ya Nyumbani Jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo.

Kwa picha Zaidi

BOFYA HAPA
au
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...