
Toka kulia ni mai waifu wa mdau Mohamedi Hassani ally, Masozi, wa pili kulia ni Mohamedi Hassani Ally, wa tatu kutoka kulia ni Muhammad Asili Ali Ahmadi na wa kwanza kushoto ni mai waifu wake Hafsa Kaima Mwaruma na wa chini ni mwanakombo Mohamedi Hassani Ally. Pongezi kwa kula nondozzzz ya Master ya International Relations kutoka Chuo Kikuu cha University of Northampton, UK. Wadau wote wawili vilevile ni wataalam wa lugha ya Kiarabu. Mohamedi Asili ni mwalimu wa lugha ya kiarabu ktk eneo la West Midland wakati Mohamedi Hassani Ally ni Mwenyekiti wa West Midland Swahili Association. Picha na mdau Ally Muhdin - London
HONGERENI SANA, MAASHA LAAH MUNAUTUNZA UTAMADUNI WENU
ReplyDeleteMDAU, ZENJ
mi si mzenji ila nafurahia mafanikio ya hizi familia. mnaonyesha mnamjali Muumba wenu. Naye kakuruzukuni. Alhamdu li Llaahi. Hongereeni saaana kabisaaaaaa.
ReplyDelete