Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal Na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa bW. Rashid Othman kulia wakisoma Dua ya pamoja baada ya Sala ya kusalia Mwili wa Marehemu Ramadhani Said Mkoma mfanyakazi Ofisi ya Rais Ikulu aliyefariki Dunia jana kwa ajali ya Gari katika eneo la Ruvu Darajani.
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiwafariji wanafamilia wa Marehemu Mzee Ramadhani Saidi Mkoma aliyekuwa Mfanyakazi Ofisi ya Rais Ikulu aliyefariki Dunia jana kwa ajali ya Gari baada ya Gari alilokuwa akiendesha kugongana na Gari aina ya Hiace, ajali hiyo ilitokea eneo la Ruvu Darajani wakati Msafara wa Mama Salma Kikwete ulipokuwa ukielekea Chalinze Mkoa wa Pwani.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...