Adam Nditi jezi ya bluu namba 15 mgongoni toka Tanzania anaendelea vyema kusakata kandanda nchini England. Tizama Youth Cup Chelsea Vs Arsenal iliyopigwa January 2011
Home
Unlabelled
Adam nditi: mbongo anaetamba atamba yosso ya uingereza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


defence problem ya arsenal kumbe ni natural problem.Hata hawa watoto wana committ exactly the same blunders!! Carling cup!!
ReplyDeleteHongera Adam Nditi peperusha bendera TZ kama kawaida.
ReplyDeletewabongo bwana,news kama hii hawachangii sana ila kama ni umbea au kushushana wana spend a lot of time there. anyway i am happy to see my fellow tanzanians doing big out there keep it up Nditi, may be wata muita taifa stars...haha
ReplyDeletesafi nditi,watoto wa arsenal nao mayai kama kaka zao
ReplyDeleteAsalam Alaykum kaka michuzi! Yaani huyu kijana ananisuuza sana kwa soka lake japokuwa mimi ni shabiki wa Arsenal....... na hasa ukizingatia ni Mznz kama mimi. Yaani Tz tunakiwa tuwe na mapro kama huyu kijana....na ucckie kaka michuzi huyu kijana ni pro wa ukweli. Paulsen sijui atamfikiria? Ila hata kama Paulsen atamuita atakuja kuboreka bure maana hao taifa stars masharobaro watupu wanaongoza kwa kukosa mabao. Na hivi kaka huyu kijana anatumia passport gani?
ReplyDeleteWISH U THE BEST YOUNG BRO
ReplyDeleteSafi sana Nditi...tunakutakia kila lakheri nyingi, ili utuwakilishe waTZ ambapo bado kabisa hatuwiki ki mpira na kuwa na wachezaji wa Kimataifa. Weka bidii zaidi na zaidi, utafanikiwa tu!
ReplyDeleteCHIBIRITI.
Dogo fanya kweli ili baadae tukuone kwenye LIGU kuu ya UINGEREZA.
ReplyDelete