Gari aina ya Toyota Hilux lenye nambari za usajiri DFP 6251 ikiwa imeingia chini ya lori la maji lenye nambari za usajili T462 ACC katika ajali iliyotokea usiku huu maeneo ya Kinondoni soko la TX.chanzo cha ajali hiyo inasemekana kuwa ni dereva wa gari hilo la Toyota Hilux kuingia barabarani bika kuangalia upande wa pili wa barabara wakati akitikea katika duka moja lililopo maeneo hayo.hakuna aliejeruhiwa katika ajali hii.
Gari hii ndio iliyoumia vibaya sana mpaka haitamaniki ha kuiona.
hii nayo imeumia lakini sio sana.
Askari wa usalama barabarani akiangalia wakati wasamaria wakijaribu kurudishia vifaa vilivyotoka kwenye gari hiyoo.
wasamalia walijitokeza kuangalia ajali hiyoo.

Pole sana waathirika wa ajali.
ReplyDeleteDFP hii nashawishika kuamini iko allocated serikalini coz za wenyewe hawakubali zitembee usiku....
Wee hapo juu unavijimambo...eti wenyewe hawataki zitembee usiku...nani kakkwambia???
ReplyDeletewabongo tuna midomo
Hakuna ajali nzuri.... ajali zote ni mbaya kwishnei
ReplyDelete