Pastor Paul Gidudu na mai
waifu wake Mary Gidudu

Wapendwa wanajumua na majirani zetu kutoka Afrka ya Mashariki;Ninawasalimu katika jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo.

Ninayoheshima kuwajulisha mtumishi wa Mungu APOSTLE PAUL GIDUDU kutoka Uganda pamoja na mke wake PASTOR MARY GIDUDU kutoka Tanzania watakuwepo katika kanisa lako la Umoja Internationaonal Outreach leo Jumapili saa kumi na moja na nusu jioni mpaka saa mbili usiku (5:30-8:00Pm).

Watumishi wa Mungu pichani wamesha fanya jazi ya Mungu sehemu mbali mbali duniani na Mungu amekuwa akiwatumia kwa namna isiyo ya kawaida. Ninapenda kumhakikishia kila moja wenu aje akitegemea kukutana na Mungu kwa namna ya kipekee.Ukiwa umepata bahati ya kusoma tangazo hili naomba usisite kumkaribishe mwingine.

Mahali: Kanisa jipya la umoja;

6411 LBJ FREEWAY
DALLAS TEXAS,75240

Muda: Saa 11:30-2:00 (5:30-8:00 Pm)

Mawasiliano:214 554 7381,682 554 6402,405 990 6441

Email:umojachurch@yahoo.com

Pastor Absalom Nasuwa
Dallas,Texas

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...