Timu yetu ya wa Tanzania wasomao Bangalore ilifanikiwa kuingia katika fainali za kombe la nchi za kiafrica zilizoko hapa Bangalore kwa kuifunga timu ya Sudan mabao 2-0.
Mashindano hayo yaliandaliwa na Umoja wa wanafunzi wa Kitanzania wasomao Bangalore( TASABA ) yalianza tarehe 26 february na yatafikia kilele chake leo Jumapili tarehe 6 March kwa mechi ya Fainali baina ya Tanzania na Cameroun, mechi ambayo itatanguliwa na Mechi ya mshindi wa Tatu kati ya Sudan na Nigeria.
Kwa habari na picha zaidi, tembelea
www.tasaba.net
au
www.tasaba.blogspot.com
Mungu ibariki Tasaba,
Mungu ibariki Tanzania,
Mungu ibariki Africa...
UONGOZI TASABA
www.tasaba.net
au
www.tasaba.blogspot.com
Mungu ibariki Tasaba,
Mungu ibariki Tanzania,
Mungu ibariki Africa...
UONGOZI TASABA
Hongereni kwa ushindi lakini hizo jezi ndugu zanguni haziwakilishi Tanzania, kwanini msitafute rangi ya timu ya taifa? Au mmefanya mapinduzi mkiwa ughaibuni?
ReplyDeletewabongo kwa kukosoa bwana, kwani kinachocheza mpira ni jezi au wachezaji?wapeni hongera watanzania wenzetu huko bangalore walau wamefika fainali sio kutoa makosa tuuu, ndio maana hatuendelei
ReplyDelete