Mwandishi wa habari mkongwe na muzeee wa mujini bagamoyo akitoa nasaha katika kiota kipya cha maraha Bagamoyo kiitwacho Abrila
unakaribishwa...
wadau wa kiota cha stendi ya zamani Bagamoyo
Bagamoyo usiku mambo mswano..
Ankal akijichanganya na wadau kiota cha
stendi ya zamani Bagamoyo

DJ akifanya mambo ukumbi wa TASUBA, ama chuo cha sanaa Bagamoyo ambako kila wikiendi kuna disko la ubwete
Wadau wakiruka majoka ukumbi wa disko la ubwete TASUBA
Ankal na wadau ukumbi wa TASUBA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mama Linda anang'ara kijiweni,Lo!!!

    ReplyDelete
  2. Uncle na Mamalinda wadau wa kijiwe cha stedi ya zamani Bagamoyo Wameng'ara

    ReplyDelete
  3. ANKAL NAJUA ULIFANYA KWA NIA NZURI TU, LAKINI PICHA YA WADAU WA KIJIWE CHA STANDI YA ZAMANI BAGAMOYO TUNAOMBA UIONDOE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...