Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja (kulia) akimshukuru Balozi wa Marekani Nchini Alfonso Lenhardt (kushoto) mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo baina yao kuhusu masuala ya nishati na madini ikiwa ni pamoja na miradi ya Millennium Challenge Corporation (MCC). Balozi huyo alizitembelea leo ofisi za Wizara ya Nishati na Madini zilizopo jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Marekani Nchini Alfonso Lenhardt (katikati) akiongea na Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja (kulia) kuhusu masuala ya nishati na madini ikiwa ni pamoja na miradi ya Millennium Challenge Corporation (MCC) wakati balozi huyo alipozitembelea ofisi za Wizara ya Nishati na Madini leo zilizopo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mkazi Msaidizi wa MCC Matthew Kavanagh.

haya Waziri mwengine huyo aliejaza samani za nje katika ofisi yake.
ReplyDeleteHawa mabalozi wa Marekani wakitoka hapo wananadika report kwa U.S State department. May be haya mazunguzmzo tutayoana kwenye wikiLeaks.
ReplyDeletenaona mkubwa yuko macho leo
ReplyDelete