Waziri wa Nchi Ofis ya Makamu wa Rais - Muungano, Bi.Samia Suluhu Hassan akiwa na Balozi wa Norway Nchi Tanzania, Bi.Ingunn Klepsvik katika picha ya pamoja Mara baada ya Mazungumza yao ya Changamoto za Muungano na Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Umoja wa Kitaifa huko Ofisini Kwake Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano, Bi. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Norway Nchini Tanzania, Bi. Ingunn Klepsvik kuhusu Masuala ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar, mchakato wa Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na changamoto za Muungano. Mazungumzo hayo yanefanyika leo Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam.{Picha na Ali Meja}

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...