Home
Unlabelled
burudika na extra bongo ya ali choki wakikupeleka 'next level'
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Extra Bongo nimeshawateua Bendi Bora ya Tanzania mwaka 2011 kwa vigezo vifuatavyo:
ReplyDelete- Bendi bora inayo- balanace wapiga vyombo na wasanii wengine wa kundi kama wanenguaji, waimbaji
- Hii video ni video bora ya Bendi Tanzania kwa uchangamfu na live concert set-up
- Bendi zingine zinachukua mtaa, Extra Bongo mmeteka nchi
- unadhifu na utawala wa steji
Mwisho nimewakubali na kweli mwaka huu mtatuuwa.
Mdau
Mhanga
Visiwani Honolulu
Bahari ya Pasifiki
Bwana wa Honolulu naona unamisi sana hizi sebene! huko unatunyima hizo bichi lakini Afrika mambo poa. Hiyo za Exta bongo ni trela tu kuna hizi cheki za mzee mwenyewe Werrason. Hapa utaona staili zote....!
ReplyDeletehttp://www.globalpublishers.info/video/werrason-new-sebene-extrait
http://www.globalpublishers.info/video/werrason-new-sebene-extrait2