

book opened at the Embassy of Japan in Dar es salaam

after signing the condolence book


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Real the man was serious, just walkout with his signature.....we appreciate you Ben. Live long man
ReplyDeleteBen is just one different man so he had even to put his duration under signature hahaha that's so awesome "Look at me now"
ReplyDeleteAnon - one, I guess you mean serious when offering his condolences?
ReplyDeleteGig Up Uncle Ben. I full appreciate your seriousness on the issues including this one...
ReplyDeletenakukubali
Mbeba Mabox
Wajapan nimewa aminia. Wamekataa humanitarian aid toka nchi nyingine. Nyie kweli wanaume. Wengine wajifunze toka kwenu. You are always prepared. Na bado mnaendelea kutusaidia sie tusojua kutafuta.
ReplyDeleteJamaa ana mwandiko mzuri kweli. Ukurasa unapendeza
ReplyDeleterais wa ukwel
ReplyDeletewow....what a good hand writting
ReplyDeleteKatika maraisi huyu alikuwa raisi. Kajenga sana miundombinu Tanzania.
ReplyDeleteMwananume huyo..........
ReplyDeleteHUYU ALIKUWA RAIS WA UKWELI SANA, ITATUCHUKUA MUDA KUPATA MTU KAMA HUYU TENA.BIG UP SANA BEN!!
ReplyDeleteHata mimi nakupa tano Ben ulifanya kazi ya ziada. Wale wenye hisia za kidini msifikiri nampa tano kwa vile mkristo nampa tano kwani aliyofanya yalionekana. Hata mzee ruksa big up sana. alileta mendeleo. Hata hivyo pamoja na makuu mliofanya awamu zenu ndizo zilizozaa mafisadi ambao wamefanya ufisadi ukawa ni utamaduni wa viongozi wa tz. Matokeo yake kikwete wa watu ndiye anatupiwa mzigo kupambana nao. Pole sana kikwete. Hakuna atakayekutoa madarakani ila cha moto unakiona. Endelea kupambana usikate tamaa ndio uongozi huo. tofauti na wenzio tu ni kwamba maendeleo walioleta yalileta ahueni kwa wananchi wewe pamoja na kupambana na mafisadi maendeleo hayaonekani. Hata hivyo tutakuenzi kwa chuo kikuu UDOM na shule za kata.
ReplyDeleteYes Ben! You always need not to prepare to address such minor messages.You were real a readily and unbeatable Journalist and indeed wonderful President.Good and enjoyable english.Big Up Ben.Live long man.Ankal why not show the message of mkuu also.
ReplyDelete