Jaji Augustino Shangwe akikaribishwa kukagua gwaride la heshima kabla ya kuanza kikao cha kesi za Mahakama Kuu kanda ya Dar es salaam mjini Morogoro
Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam Mh. Augustino Shangwe , akikagua gwaride rasmi la Kikosi cha Jeshi la Polisi wa Kutuliza ghasi ( FFU) kabla ya kuanza kwa kikao cha kwanza cha mwaka 2011 , cha kesi zinazoendeshwa na Mahakama kuu. Gwaride hilo lililifanyika leo kwenye viwanja vya Mahakama ya Mkoa wa Morogoro kiliongozwa na Inspekta Jasephet Masota. Picha na John Nditi. 

Hii mimi siielewi kabisa. Hvi kazi ya jaji ni hii pia!
ReplyDelete