Home
Unlabelled
JK akagua hifadhi ya chakula leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi kuweka hifadhi ya chakula Dar es salaam ni sahihi? mara kwa mara majanga ya njaa hutokea mikoani pili ambapo gharama ya usafirishaji inaongezeka kutokana na kwamba mwanzo kilisafirishwa kuja Dar then kitasafirishwa kwennda mkoani pale litakapotokea janga - hii ni gharama isiyo na sababu.Nafikiri hili ghala lingetafutiwa eneo ambapo ni centre ya nchi.Kubwa zaidi Dar es Salaam siyo wakulima hivyo haileti sense
ReplyDeleteHifadhi haiko Dar tu. Kuna maghala ya namna hiyo mikoani kwa kila kanda - yaani kanda ya kati wana ghala lao, nyanda za juu kusini wanalo, kanda ya ziwa wanalo, n.k.
ReplyDeleteHilo la Dar es Salaam ni kwa ajili ya kanda ya Pwani.