Makamu Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari za michezo (TASWA) Maulid Kitenge, akizungumza katika Mkutano Mkuu wa chama cha Waandishi wa habari za Michezo Duniani AIPS ulioanza jana mjini Seoul, Korea Kusini.


RAIS wa AIPS Gianni Merlo akiwa katika Picha ya pamoja na Wajumbe kutoka Afrika wanaohudhuria Mkutano Mkuu wa AIPS unaofanyika mjini Seoul, Korea Kusini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Eeeee! Kumbe Kitenge anajua kidhungu!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Mbona watu weusi ndio walikuwa majority? h ehe heh eh e!

    ReplyDelete
  3. Jamani watu wabaya sana hata mimi nilikuwa najua Kiteng hajui kidhungu au anabonga kimatumbi, hongera sana bro go go go

    ReplyDelete
  4. mi nasema kumbe hapo kunaulaji mzuri tu kutoka dar mpaka kwa kina huha shisawa mbona uongozi uliopita walikuwa hawasafiri fanya umalize mda wako maulid nasi tugombee naona mzee shavu shavu eeebwana allowance si ya kufa m2 poa niletee jezi yangu no 9 mgongoni lete rangi yoyote ukikosa nyekundu au blue hata ukiokota niletee

    ReplyDelete
  5. Wewe unaona lugha ni kidhungu tu, nenda Russia, Cuba au Uturuki ukaonae cha moto, wnatukuza lugha yao kwa kwenda mbele, mpaka sasa DW, BBC na VOA wana matangazo kwa Kiswahili cha ajabu kipi? Kamua Kitenge!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. Big up mdau wa tano mwanangu umezungumza kitu mwaaaaaaaaaaaaaaaaah!

    Mdau Avold!

    ReplyDelete
  7. Fanya urudi mwanangu uje uturushe na Spoti ya Radio One Stereo. Hongera sana, hayo ndio mambo ya exposure. Habari ya kizungu achana nacho, tena piga kimatumbi kwa kwenda mbele hadi hao wachina wapoteane. Mbona Rais wao alipokuja huku aliongea kimatumbi chao akatafsiriwa. Na wewe gonga kimatumbi cha bongo. Halafu wambie dawa zao hazina issue sasa hivi tunatumia dawa za babu Loliondo

    ReplyDelete
  8. Mau-Kite hana tatizo na language. Uliza enzi zile za Al-harmain!!!

    ReplyDelete
  9. Kanyoa KIDUKU

    ReplyDelete
  10. Hadi nione clip!

    ReplyDelete
  11. Ha ha haaaa Kidukuuuuuu hoyeee Maulid ana Masters atashindwaje kidhungu bana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...