Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mkangara akizindua maonesho ya picha za habari wakati wa kongamano la TMF linaloendelea hivi sasa ukumbi wa Mlimani City jijni Dar es salaam
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh. Zitto Kabwe
akichangia mada katika kongamano hili

Mh. Zitto kabwe akiongea na waandishi kuhusu New Media, akiwaponda sana viongozi wa vyombo vya habari wanaowapiga vita wandishi wao ambao wanaendesha blogs kuwa badala ya kuwakatisha tamaa wajivunie kuwa nao na wawatumie, akisisitiza viongozi hao ni wenye mawazo yaliyopitwa na wakati.
Mh. Zitto akikabidhi vyeti kwa wahitimu
wa mafunzo ya New Media ya TM
F
Mpiganaji Athumani Hamisi akiwa katika kongamano hili
Jenerali Ulimwengu akichangia mada
Wana Libeneke wakiwa kazini wakati wa kongamano
Sehemu ya maafisa wa TMF na wahudhuriajiAfisa Uhusiano wa TMF Japhet Sanga
akiangalia mambo yanaenda sawa

Mpiganaji Deo Mushi akichangia mada.
Kwa mapicha zaidi
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...