Salaam anchor Michuzi,
Ninatambua mchango wa Blog yako katika kuunganisha watanzania nje ya nchi na ndani ya nchi kupitia ufuatiliaji wa habari za mbalimbali zinazotolewa kupitia blog hii, kwa kuwa huu ni uwanja mpya ambao kasi yake ni kubwa kuliko kasi ya risasi, basi wengi wanapenda kushiriki kwenye uwanja huu ili kupanua uwigo wa kujua kinachotokea pande zingine na hasa huku vijijini ambako asilimia 80 ya watanzania wamejichimbia!

Ukija kwetu utakutana na blog za wanavijiji kama sisi wapya, basi naomba nitambulishe kwako na kwa wadau blog ya www.dtwevetz.blogspot.com
kwa habari na matukio mchanganyiko kutokea border ya Tunduma!!!!!!!!!
"Tupo pamoja sana kasoro mazingira yanatutenganisha, ninyi mko mjini siye tupo kijijini"

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...