Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) aongelea mipango kabambe ya maendeleo ya shirika hilo ikiwa ni pamoja na mipango ya ujenzi wa nyumba mpya pamoja na ushirikiano na mabenki katika kutoa mikopo na uuzaji wa nyumba katika hafla NHC iliandalia wakuu wa mabenki usiku kuamkia leo hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...