Libeneke jipya linalohusu elimu kwa ngazi zote kuanzia sekondari mpaka vyuo vikuu limenzishwa na liko hewani tayari. Taarifa kuhusu semina, udhamini wa elimu, party za wanafunzi, na hata mafunzo vyuoni, pia unaweza kutangaza shule yako au chochote kuhusiana na biashara ya elimu,wanafunzi na hata wadau wa elimu tumeni habari na picha humu.www.elimubora.com
phone number ni 0714 43 65 94
phone number ni 0714 43 65 94


hongereni
ReplyDeletevery cute
ReplyDelete