Meneja uwezeshaji EPZA Mr. Lamau Mpolo akitoa mada kuhusu EPZA na utendaji wake kwa maafisa na wanafunzi wa chuo hicho.
Mkurugenzi wa fedha na utawala (EPZA) Desidery Kalimwenjuma (mbele) akiwatembeza maafisa hao katika eneo la EPZA, Benjamin William Mkapa-Special Economic Zone(SEZ).
Mkurugenzi wa fedha na utawala (EPZA) Desidery Kalimwenjuma (kulia) akiwa na maafisa na wanafunzi wa chuo cha kijeshi Arusha - Tanzania Military Academy katika semina iliyofanyika makao makuu ya Export Processing Authority EPZA.
Picha ya pamoja baada ya semina hiyo wakiongozwa na EE Kyunga commandant.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. EPZA ndio nini? Siku nyingine hizi habari nusunusu msituletee kwenye blogu yetu ya jamii.

    ReplyDelete
  2. Mdau hapo juu afadhali umeona hii...Mimi kila siku nashangaa hawa waandishi wa habari aua watu wanaotaka kuwa waandishi wa habari wakileta habari huku ni nusu nusu. Wanafikiria wote tunajua anachoelezea au tunaishi Dar. Mara VETA leo EPZA kesho sijui ni nini tena...Kama matu unataka ujumbe wako ufikie walengwa wa habari yako chukua muda kutafakari nini unaandika, nani unataka habari hii imfikie.

    Natumaini kuelezana huku kutazalisha waandishi wa habari bora TZ kwa vile kama ni hivi kila siku tukienda kwenye soko huria mashindano yatatushinda...

    ReplyDelete
  3. Huyo polisi katokea wapi tena humo?

    Ninyi hamwendi kwa Babu?

    Ndiyo, nyie JW ndo sehemu ya serikali iliyoonyesha msimamo wa kitaalamu mpaka sasa, sio kama polishi. Sijaona gwanda lakijani likibwia kikombe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...