Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad akishuka katika ndege Karume International Airport akitokea nje ya nchi alikokuwa kikazi
Maalim Seif akivishwa shada la maua
Maalim Seifa akipokewa kwa furaha
Makamu wa kwanza wa Rais akiongea na waandishi wa habari.
Shoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Habari Zanzibar Bw. Hassan Mitawl.
Picha zote na Yussuf Simai wa MAELEZO Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jamani hivi huyu Maalim hana mke? Maana sijawahi kuona popote pale picha ya mke wa Maalim Seif, na hata huko alikokuwa anatibiwa hatujaona picha ya mkewe. Sasa atauguzwa na nani huko nyumbani jamani.

    Kama hana mie najitolewa anioe nimlee!

    ReplyDelete
  2. karudi kijana maalim.. wazee wa zamani walisema "mtu akila hasemi"

    ReplyDelete
  3. juma mahundiMarch 27, 2011

    Tunashukuru umerudi salama mkuu ili tuendeleze nchi yetu
    ninaheshimu jitahada zako katika serikali ya umoja wa kitaifa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...