Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa TBL,Nicholas Broks akifafanua jambo mbele ya Maafisa mauzo na usambazaji wakati wa muendelezo wa semina ya siku mbili iliyokuwa ikifanyika katika hotel ya Kunduchi Beach,jijini Dar leo.
Meneja wa TBL nyanda za juu kusini,James Kavuma akimpa zawadi Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa TBL,,Nicholas Broks mara baada ya kumalizika kwa semina ya siku mbili ya Maafisa Mauzo na usambazaji wa TBL waliopo mikoa yote ya Tanzania,katika hoteli ya Kunduchi Beach,jijini Dar.





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...