Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hongera Jump Around...maisha ya ndoa kuvumiliana kwa hiyo ukumbuke hilo.

    ReplyDelete
  2. Sasa mambo ya flavanite na maisha acha.. wewe kula ugali na mkeo ukalale.. na marekani ndio sahau kabisaa. tuachie wazungu wetu sisi tule bata.. umeme haukatiki huku na choo automatic.
    Mbeba maboksi
    Hongera kaka..
    Marekani - Karibu na Mungu

    ReplyDelete
  3. Nimeshindwa kumu-identify JP, nimejionea vurugu tu ya Wanakamati wakishangilia ushindi wa Liverpool.
    Hata hivyo, hongera sana Bw. Martin JP ka kujinasua na manungaembe.

    Kiroboto, Mafia Island

    ReplyDelete
  4. Bwana Mkubwa kweli lazima mambo ya Maisha na jamii yake mwisho. Lazima uwahi nyumbani ule ugali na mkeo. Ukiungana na kina mwana-FA (mabachela) ndo ujue unaanza mushkeli wa ndoa yako. na wewe Angela uchangamke na mumeo. Hapo hakuna tena kubebwa bebwa. ndo utoto ushaisha hivyo. Maisha ni ninyi wawili na watoto wenu, hakuna cha anko wala baba mdogo wala sijui rafiki ya nani tena. Ndoa haina fomula zaidi ya Upendo, kuvumiliana na kupendana,
    Big up and welcome to our beautful Club

    mbeba mabox wa Uholanzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...