Mbunge wa Mvomero Mh. Amos Makalla, ambaye yuko ziarani Uingereza kikazi, akiwa na mmiliki wa mgahawa wa Vincents mjini Reading Bw. Gardol (kulia) na shoto mdau Riziki Lukanza leo katika mapumziko ya Jumapili. Wamatumbi kibao humiminika kwenye mgahawa huu kupata chakula cha nyumbani na hata dozi ya babu (supu ya pweza) inapatikanaga hapo.
Mh. Amos Makalla akipata Sato toka Mwanza
katika mghahawa wa Vincets
Mhe makalla akiwa na wadau wa mghahawa wa vincets jana.
Kulia ni mdau Peter na kushoto kwake ni mdau James.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...