Mkurugenzi wa kikundi cha Zinduka Womens Centre kilichopo Njiro mkoani Arusha,Sister Mary Rashmi akimuombea mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh. Godbless Lema ili aweze kuwatunza na kuwajali wanawake katika hafla ya siku ya wanawake duniani iliyohaidhimishwa kituoni hapo.
Picha nyingine ni mmoja wa mwanakikundi wa upendo,Abgela Barnabas akimkabidhi mbunge wa Arusha mjini,Godbless Lema fimbo kwa ishara ya kuwalinda wakinamama wa jimbo la Arusha mjini,juzi katika hafla kituo hapo. Picha na mdau Moses Mashalla

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. changanya dini na siasa. ndo maana watu wanalalamika udini!

    ReplyDelete
  2. we nawe haikuhusu nani kakwambia ni dini na siasa migitu mingine bwana.

    ReplyDelete
  3. anony wa kwanza hapo juu kama hujui usemalo uliza na mwisho utafahamishwa ila kama una ufaham wa kutosha basi ulilonena hapo juu ni upumbavu.

    "jifunze vyema maana ya kuchanganya dini na siasa"

    ukiwa mwanasiasa sio kwamba huna dini yako kabila lako nk ila unapowatembelea watu wako ni lazima uheshim maadili yao hata kama ni dini tofauti au kabila tofauti na lako, na kamwe usiwabague kutokana na tofauti hizo.

    ReplyDelete
  4. Mr.Lema kweli wewe ni mtiifu kama ulivyoinamisha kichwa chako hivyo!!!????
    Nami nakuombea hiyo dua ifanye kazi sawa sawa mwilini mwako na uwalinde hao wanawake wa Arusha na kwengineko duniani na pia shetani mbaya ashindwe na alegee atakapojaribu kukuletea majaribio yake ya kipuuzi - Amen.

    Kipara Siugonjwa, New Albany, OHIO.

    ReplyDelete
  5. CCM Juuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!! hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! wanaona haya wamefanywa vibayaaa!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. wengine wanalindwa na majini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...