Home
Unlabelled
MH. LEMA AKIWA KATIKA HAFLA YA KIKUNDI CHA WAKINAMAMA ARUSHA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
changanya dini na siasa. ndo maana watu wanalalamika udini!
ReplyDeletewe nawe haikuhusu nani kakwambia ni dini na siasa migitu mingine bwana.
ReplyDeleteanony wa kwanza hapo juu kama hujui usemalo uliza na mwisho utafahamishwa ila kama una ufaham wa kutosha basi ulilonena hapo juu ni upumbavu.
ReplyDelete"jifunze vyema maana ya kuchanganya dini na siasa"
ukiwa mwanasiasa sio kwamba huna dini yako kabila lako nk ila unapowatembelea watu wako ni lazima uheshim maadili yao hata kama ni dini tofauti au kabila tofauti na lako, na kamwe usiwabague kutokana na tofauti hizo.
Mr.Lema kweli wewe ni mtiifu kama ulivyoinamisha kichwa chako hivyo!!!????
ReplyDeleteNami nakuombea hiyo dua ifanye kazi sawa sawa mwilini mwako na uwalinde hao wanawake wa Arusha na kwengineko duniani na pia shetani mbaya ashindwe na alegee atakapojaribu kukuletea majaribio yake ya kipuuzi - Amen.
Kipara Siugonjwa, New Albany, OHIO.
CCM Juuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!! hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! wanaona haya wamefanywa vibayaaa!!!!!!!!!!!
ReplyDeletewengine wanalindwa na majini.
ReplyDelete