Bw Mshana na Bi Emmy Musokwa wakimvisha Mh. Anne Makinda vazi la heshima na kumpongeza kwa kuchaguliwa kwake kuwa Spika wa Bunge la Tanzania
Mh. Spika Anne Makinda akizungumza na Watanzania waishio Freetown, SierraLeone leo walipomkaribisha chakula cha jioni. Kulia kwake ni Bi Emmy Musokwa Bingwa wa Uangalizi na Ufuatiliaji wa PAGE , mwingine ni Bw. Omary Mjenga Mwakilishi Mkazi wa shirika la Umoja wa Mataifa la UNOPS
Watanzania waishio Sierra Leone wakimsikiliza kwa makini Mh. Spika Anne Makinda
Spika kwenye picha ya pamoja na baadhi ya watanzania waishio Sierra Leone.
Picha zote na Prosper Minja wa Bunge
Bw Mjenga, Mkuu salamu! Tunafurahi kukuona na tunaendelea kukutakia kila la kheri. Vako
ReplyDelete