Mwimbaji mkuu ni Issa Kijoti 'Mchumu mchumu' ambaye hatunaye tena kufuatia ajali ya jana Mikumi
Home
Unlabelled
mojawapo ya vibao vilivyoipandisha chati five stars
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Du, hii inauma sana, vijana wadogo tu wanatutangulia mbele za haki. Masikini Kijoti mwishoni mwa wimbo amesema aliyelala usimwamshe, kumbe anajitabiria kifo chake.
ReplyDeleteTunaomba picha na majina ya marehemu. Maana hatujui yupi ni yupi. asante
ReplyDeleteNi mara ya kwanza kuisikia hii nyimbo na kwa kwa ukweli siijui hii bendi kwa sababu sipo Bongo ila huyu Issa Ally Kijoti alikuwa ni mwimbaji mwenye kipaji sana.Na nimezidi kuhuzunika na msiba huu. Ila jambo moja la kujifunza ni kwamba kifo kipo karibu sana kwa vijana na wazee pia. Jamani tumrudie M/Mungu siku zetu za kufa zipo karibu sana.Dunia ni mapito tu.Hii ni fundisho kubwa sana kwa sisi tuliobaki.
ReplyDeleteNi hiyari yetu sisi kumrudia mungu na kumcha yeye na tuache mambo ya kidunia.M/Mungu awasamehe makosa yao na atuongoze sisi tulio hai katika njia iliyonyooka. Amin
Amin. mdau hapo juu umesema maneno ya kweli kabisa.
ReplyDeletejamani sehemu husika na kutizama ukamilifu wa dereva hasa kwa magari ya abiria mnafanya nini? yaonyesha madereva hawajali kabisa... wao ndio chanzo kikuu cha ajali zote hizi.. ama ndio utarafibu wa kupunguzana kwa style mpya.... mi nalia na madereva ajali zote ni kwa uzembe wao
ReplyDeleteInasikitisha na inahuzunisha sana kwa Taifa letu kupoteza watu wenye vipaji na waliokuwa wakichangia Uchumi wa Taifa letu kwa kiasi kikubwa.Taifa limepoteza nguvukazi.
ReplyDeleteBwana ametoa na Bwana ametwaa,jina la Bwana lihimidiwe!
TUJIPE POLE SOTE KWANI HAWA WALIKUWA MABALOZI WETU.iLA KAMA INAWEZEKANA TUNGEPAT PICHA ZAO TUJUE NANI NI NANI.
ReplyDeleteHe jamani kumbe ni hawa. Nililetew a DVD yao mmuda sio mrefu. Ngoja ni kaingalie tena..Ni yupi na yupi alyefariki.
ReplyDelete