Hi all!
I am travelling to Washington DC this Saturday, for a 6-week employer sponsored training at Arlington. I am a first timer to the US and having past experience on this, would appreciate if any of you will be kind enough to write a few words about the DOs and DONTs for new comers.
Any advice, warning, wishes, suggestion, comment, proposition and even invitations are welcomed.
Please feel free to contact me using my Hotmail account. Find me as: blackmpingo
Thanks in advance,
Blackmpingo
dont drink and drive..
ReplyDeleteWelcome to civilization land. You've got a lot learn, delete all junks from your head start from corruption, ufisadi, umalaya and so forth.
ReplyDeleteLive freely because there is no pockets pickers, don't speak lies because no body gonna trust you. Be careful with time because its money down here, concentrate more about what you were sent for because this is the different world where everything can be found, wash your eyes because u gonna see tall buildings and different types of cars. I think now ya American. Thank you!
Usivae nguo zenye rangi ya blue au nyekundu, kwa sababu crisps au blood watakupiga risasi
ReplyDeleteAlways do deodorant is very important ,Try not to DO follow Tanzania down here.
ReplyDeleteAnd remember NO means No...
ReplyDeletemkuu naona vijana wanakushambulia hapo juu wakidhani wee wakuja!hehehe
ReplyDeletehope G&C WILL enjoy a quality time too.all the best big!
Kama hujazoea kutumia deodorant na mouthwash basi uanze leo hii. Ukiwa na B-O utasemwa na kuchekwa na hutaalikwa tena! Pia ukiingia dukani usidhani kuwa unaweza kudokoa vitu camera zimefichwa kila mahala.
ReplyDeleteWelcome to 504 Kent Street.
ReplyDeleteSee y'all !
Kinda funny-Wa kwanza umeua na "dont drink and drive". Imekuja so straight na haraka. Jamaa hata id hana wala leseni so he wont drive sir. U made me laugh and laugh and laugh and laugh
ReplyDeleteOK WE NI MWANAMKE AU MWANAMME,MAANA DO NA DONT ZINATEGEMEA JINSIA,NIJIBU KAMA NI JIKE BASI EMAILYANGU NI thebigdc@aol.com
ReplyDeletewacha mamboyao mkuu kama hujawahi kutia dedorent na kwapa zako hazinuki basi usiweke kwani utakapo weka basindio zitakuzowea na ukiacha utanuka kwapa,ulaya na america za sasa sio za kamazamani wageni wengi na lugha nyingi jimwage tu ugeni ni wiki yakwanza tu vuruga baba.
ReplyDeleteKaribu USA!
ReplyDeleteKwanza Faza Supu hasante kwa kupost ujumbe wangu. Mie nishafika salama na niko Marriott ingawa masikio hayasikii kabisa. Also nawashukuru wote waliojibu. But allow me to clarify: Show off sina. Changu change na chako kiwe chako. Vinukio mie ni vyangu tangu enzi za Chauda wakati nikisoma Forodhani (wengi bado walikuwa wanatambaa). Hii ni mara yangu ya kwanza US ila viwanja na mbuga nimezikata. Many places nilikutana na beautiful people. Na ninategemea wiki sita hizi zitakuwa hivyo hapa DC. Juu ya Drink and drive, mie hiyo sina, ila gari nitakodisha na weekends kutembelea sehemu mbali mbali nje ya mji. After Uturuki, Moscow Germany Stockholm etc sithani hapa patanipa taabu sana kuendesha. Mialiko nasubiri hata kama ni ya kwenda kunadi dini
ReplyDeleteWelcome to DC.
ReplyDeleteUshauri wangu ni kwamba:
1. Kuwa makini unapovuka barabara kwani huku magari yanakwenda upande mwingine kinyume na Tanzania.
2. Arlington, Iko Virginia, Border ya DC.
3. DC ni nzuri sana jaribu kutembelea mjini, The Capitol, Smithsonian, The white house, na etc.
4. Unaweza kwenda kokote unakotaka DC, usafiri mwingi tu; Kama Hotel yako iko mbali na Train station, chukua Taxi mpaka train station; halafu anza safari yako kwa treni, is cheap that way.
5. Mji wa DC ni salama isipokuwa South East DC, na sidhani kama wewe utakuwa na sababu ya kwenda huko South East.
6. Kama ni mzee wa kujirusha DC, kunasehemu nyingi kama vile, VIP, Zanzibar club, Millenium kwetu waswahili and etc.
7. Na kama ni mzee wa MAMBO- Kina Dada wanacheza bila nguo kunasehemu inaitwa Penthouse iko Georgia Avenue in DC na sehemu nyingine ziko Bethesda.
8. Usimkubali mwanamke atakae kuuliza kama unataka mambo mtaani(Malaya) wanakuwa ni mitego ya Polisi(sometimes).
9. Waswahili tuko wengi sana hapa ; Tuna Restaurant yetu nzuri tu Inaitwa Millenium, Simu: (301) 431-2010 , Adress: 1511 University Blvd E, Hyattsville, MD 20783, ni kama dakika 25 kutoka Arlington, utajisikia kama uko home, utakutana na waswahili wengi tu. Taxi itakugharimu chukua Treni. Unless kama mzee mambo yako safi ni kama $30, kwa taxi, kutoka Arlington.
10. Usikojoe kichochoroni hata kukiwana kiza , utakamatwa na kupigwa faini.
11. Usifanye shopping Down town DC ni Ghali nenda Virginia au Maryland, karibu sana usidhani ni mbali.
12. Waswahili wengi ni waaminifu hapa. Usiwe na hofu, still use your own judgment.
13. Mtu akikushikia mlango au akikufungulia mlango mahali say Thank you; You have to do the same for other people, in public places.
14. Hakuna ukabaji wala rushwa. (Namaanisha kuwa hautokabwa)
15. Ukipatwa na emergency piga simu : Namba ni 911,(Police & Hospital) ni bure hata simu za mitaani.
16. Kama ni Muislamu pepperoni and Bacon ni Nguruwe; Ukiwa restaurant.
17. Kama Muajiri wako amekupa Posho ya chakula(I mean in Cash) , usinunue chakula hotelini unapokaa, most of the time is too expensive; Nenda nje ya Hotel angalia au uliza kama kuna restaurant karibu.
18. Usitumie simu ya Hotel (kwa long distance, I am sure u know this, is too expensive. I am sorry if this is no brainier).
19. Unaweza kwenda kuwangalia Washington Wizard basketball team at Verizon center (Treni inakuchukua mpaka stadium) .Usinunue ticket za jamaa nenda kwenye vibanda, pale uwanjani.
20. Unaweza kunywa maji ya Bomba ni salama; Japo watu wengi hapa wanakunywa ya chupa.
21. Hichi ni kipindi cha Baridi sana kwa hiyo kama chumba chako kitakuwa baridi hakikisha unawasha hita(heater) na kama huoni pakuwashia hakikisha unaongea na mtu wa Hotelini. Sijuwi wewe ni DK au ? kwani ukilala kwenye baridi unaweza usiamke mpaka makaburi ya Kisutu au kinondoni.
22. Angalia sana attitudes za wafanyakazi wa Mahotelini hasa Black Americans au some Africans from Horn of Africa; Akikisha kuwa wana kutreat with respects.
Samahi kama vituvingine nilivyozungumza ni common sense, I did not mean to treat you like stupid.
Wako
Mzee wa Ununio.