Jumuiya ya watanzania waishio Manchester, UK; wanasikitika kutangaza kifo cha ndugu yao Modibo Keita.
Uliotokea leo alfajiri katika Hospitali ya Manchester Royal Infirmary. Tunawaarifu kuwa leo kutakuwa na kikao cha kujadili mazishi ya marehemu. Kikao hicho kitafanyika leo tarehe 10/03/2011.
Saa moja kamili mpaka saa nne usiku. Katika ukumbi wa Manchester Council for Community Relations.Au Phil Martin Center.141-143 Princess Road.
Manchester M14 4RE. Asanteni kwa ushiriano wenu.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Ibrahim Mtemvu: 07556361118
Nanyorry Mwasha. 07956397149
Barbara Modibo Keita:07424214879
Bwana ametoa, Bwana ametwaa, libarikiwe Jina la Bwana.
Uliotokea leo alfajiri katika Hospitali ya Manchester Royal Infirmary. Tunawaarifu kuwa leo kutakuwa na kikao cha kujadili mazishi ya marehemu. Kikao hicho kitafanyika leo tarehe 10/03/2011.
Saa moja kamili mpaka saa nne usiku. Katika ukumbi wa Manchester Council for Community Relations.Au Phil Martin Center.141-143 Princess Road.
Manchester M14 4RE. Asanteni kwa ushiriano wenu.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Ibrahim Mtemvu: 07556361118
Nanyorry Mwasha. 07956397149
Barbara Modibo Keita:07424214879
Bwana ametoa, Bwana ametwaa, libarikiwe Jina la Bwana.
Kaka yangu Keita, RIP.
ReplyDeleteMungu atakurehemu na kukujalia kivuli. Pumziko la amani.
Thanks thanks for always being there...we will miss your everything....advice, cooperation, charm, jokes...
RIP my bro.
Rambi rambi zangu kwa familia - Eliza, Malick, Barbara, Ibrahim...
Ooh jamani poleni sana kwa msiba jamani nini kimemuua handsome wetu? kweli kifo hakichagui na hakina huruma RIP MODIBO
ReplyDeleteDaah,sad news.R.I.P uncle
ReplyDeleteRIP dady wng,tunakupenda sana ila mungu amekupenda zaidi yetu.! thanx for being a wonderful dady to me.. love u so much my precious dady, najua nitakumic sana lkn najua umekwenda kupumzika kwenye nyumba yako ya milele.
ReplyDeleteDuh! Nimeshtuka sana. My friend Keita! Tumekua wote Masaki.
ReplyDeletePoleni sana wanafamilia.
Astarehe kwa Amani. Amen!
POLENI SANA WANAFAMILIA NA MARAFIKI WOTE. MUNGU AKUWEKE MAHALI PEMA PEPONI.GOD BLESS YOU.
ReplyDeleteEDITH,LUCAS,SABINA,VIRGINIA FROM LONDON
RP mdogo wangu Keita,Poleni sana Mtemvu family na Kilungo family,Mama mzazi mama Sitty Kilungo, Abasi Mtemvu Jasmin Mtemvu dada Amina Mtemvu ,kaka Hamisi Kilungo dada Fatuma Kilungo na Yasini kilungo. Mungu awape subira.Jamilla Holland
ReplyDeletebabra na nduguzo MUNGU atawatia nguvu poleni sana...i dont know him but am touched by ur words.
ReplyDeleteR.I.P Mr Keita
Sad news!Mungu atakurehemu Keita.Ulikuwa mchangamfu, na mtu wa watu.RIP MODIBO.
ReplyDeletemaskini sote ndio njia yetu lakini imeniuma kifo cha keita mungu ailaze mahalipema roho ya marehemu barbara pole mwanangu inauma kuondokewa na kipenzi chako mungu awape imani wafiwa na ndugu wote AMIN dada sophi sweden
ReplyDeleteKEITA DEAR RIP, U WILL B MISSED ALTHOUGH U R WITH LORD. OUR PRAYERS AND SYMPHATHY EXTEND TO BARBARA, MALLICK, THE MOTHER,BROTHERS, SISTERS AND ALL WHO ARE TOUCHED BY YOUR DEPARTURE. MAY GOD ALMIGHTY COMFORT U ALL.
ReplyDeleteLOVE, PRAYERS AND THOUGHTS R WITH U ALL.
Rest in Peace Keita,
ReplyDeleteFamilia, Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu kwetu.
Amen
RIP ma precious husband,kiukweli kuondoka kwako kumenipa maumivu makali ambayo siwezi hata kuyaelezea kabisa lkn najua kazi ya mungu haina makosa, love has no end tutaonana siku moja...! u will always be in my heart forever..
ReplyDeletekameta's family tunatoa pole sana kwa family ya keita especially watoto wake barbara and mallick, mungu awatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu.! barbara we know how u feel deep down inside ur heart but mungu awe pamoja na wewe our baby we love u so much.
ReplyDeleteRest In Peace Keita,
ReplyDeleteMungu atupe nguvu kipindi hiki kigumu.
Upumzike kwa amani ya milele
Brother Keita RIP Umetuachia majonzi makubwa kwenye familia,Tutakukumbuka daima hasa kwa ushauri wako,ucheshi na mapenzi makubwa uliyonayo kwa ndugu zako.Wanangu Barbara na Mallik poleni saana mungu awape nguvu,nawaahidi ushirikiano nanyi wakati wote.Kaka pumzika kwa amani.
ReplyDelete