Home
Unlabelled
simba na yanga: nani kuondoka kichwa chini uwanja wa taifa leo??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
SIKU YA LEO YA 5 YA MWEZI WA 3 HESABU IKO HIVI:
ReplyDelete1.JUMLISHA HERUFI ZA TIMU ZOTE ZINAZOCHEZA
2.TUMLISHA NA HERUFI ZA TARAHE NA MWEZI
3.PATA JUMLA
4.ANGALIA ALPHABET KUANZIA YA KWANZA HADI IDADI INAYOLINGANA NA 3 HAPO JUU.
5.ANGALIA NYUMA TATU NA MBELE TATU
6. NI HERUFI GANI INAINGIA HAPO KATIKATI
7. NDIO MSHINDI WA MECHI YA LEO KATI TA SIMBA NA YANGA.
JIBU:
1.SIMBA INA HERUFI - 5
2.YANGA INA HERUFI - 5
3.JUMLA = 10
4. TAREHE 5(TANO) INA HERUFI 4
5.MWEZI WA 3(TATU)UNA HERUFI 4
6. JUMLA YA 5+5+4+4 = 18
7.ALPHABET NI A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
8.ALPHABET YA 18 NI R
9.MBELE YA R KUMA S,T,U NA NYUMA YA R KUNA Q,P,O
10 HERUFI INAYOONEKANA KUWA KARIBU NA R NI S
11. MSHINDI WA LEO KATI YA SIMBA NA YANGA NI SIMBA
UKITAKA KUJUA MAGOLI MANGAPI HADI UNIPE JINA LA MGENI RASMI
SIMBA, SIMBA, SIMBA KIDEDEA
HINASIKITISHA KUONA ADI LEO MZAMINI MKUBWA WA LIGI YETU NI MMOJA TU VODA TU! NA VIONGOZI WAMELALA KUTAFUTA WATHAMINI LIGI ITAKUWA LINI. KAMA AMA MAKETING STRATEGIES YA LIGI YETU ! ADI LEO TEAM NI YANGA NA SIMBA !! TUTAFIKA LINI
ReplyDeleteMDAU PARIS